Heshima sana wanajamvi,
Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.
Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.
Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa...
Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI
=============
Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili.
Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, ama inaweza kutupwa katika namna ambayo...
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi...
Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
Mei 11,2022 CHADEMA imeandika historia ya kuwavua uanachama, Wanachama wao 19 ambao wengi ni waandamizi na wamewahi kuwa viongozi wakubwa katika chama hicho. Baadhi ya Makosa makubwa yaliyosababisha wavuliwe uanachama ni pamoja na;
1. KUGHUSHI NYARAKA ZA CHAMA
2. KUGHUSHI SAINI YA KATIBU MKUU WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.