Wakuu sisi ni wamasai.
Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.
Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana.
Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??
Tumshauri.
Habari za muda huu wanaJf.
Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote Tanzania.Hivyo basi nimekuja kwenu naamin nitapata msaada wenu members wa humu juu ya hili suala...
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana.
Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana.
Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
I salute you kinsmen.
Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona.
Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
Wakuu habari
Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu )
Kuna mambo nataka...
Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma.
Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma.
Natanguliza shukrani nduguzanguni.
Kwema wakuu,
Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko.
Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga.
Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma.
Matokeo.
Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule akadai simu yake lakini mkuu wa shule amegoma kumrudishia na anadai simu imeharibiwa.Ni kweli sheria...
Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo
Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini.
Tangu zamani ndoto yangu kubwa ilikua ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu...
Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+.
Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you.
Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
Serious Issue
Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie
Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua
Nilipoanza chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.