mdogo wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

    Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
  2. M

    Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

    Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya kuachana na yule mchepuko nikawa natafuta mwingine wa kureplace mdogo mdogo. Kuna binti mmoja ninajua...
  3. Vhagar

    Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

    Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani unaweza kurudi home unakuta kakaa na mavyombo machafu hana habari. Vitu viko hovyo, kupangilia kila kitu...
  4. Mbeya Girl

    Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
  5. Raymanu KE

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma...
  6. my name is my name

    Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

    Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu :( Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza...
  7. M

    Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  8. U

    Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana. Sasa leo nimekuja hapa...
  9. EL ELYON

    Mchepuko wa mdogo wangu amenielewa

    Wakuu hamjambo aisee. Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku miaka MINGI na familia yake SA siku moja tupo kwenye matembezi tukakutana na kadada Fulani hivi...
  10. B

    Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Mdogo wangu ana kipaji cha kumwigiza Rais Samia

    Habarini za leo wakuu, Leo nimekuja na hii video ikimwonyesha mdogo wangu anayeweza kumwigiza Rais Samia mwanzo mwisho.
  13. Superbug

    Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu

    Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasa hivi ni...
  14. Mkulungwa01

    Nahitaji kufahamu huyu dogo ni mtu wa aina gani

    Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao...
Back
Top Bottom