mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  2. Bezecky

    Mdude: Lissu, Heche, Lema ni wapinzani wa kweli Tanzania. Nilipokuwa Polisi Oysterbay baada ya mateso makali nikasikia mahabusu wanaimba Lissu! Lissu!

    𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
  3. B

    Mdude Nyangali amfananisha Mbowe na Nabii Musa, Lisu na Nabii Joshua

    Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
  4. blogger

    Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  5. Waufukweni

    Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

    Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe. Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
  6. L

    Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako. Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu...
  7. S

    Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  8. Waufukweni

    Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu

    Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili. Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi nyingine ya mauaji, maandalizi ya hukumu ya shauri hili hayajakamilika. Soma zaidi: Mdude amburuza...
  9. S

    Kauli za akina Tundu Lissu, Boniface Jacob, Twaha Mwaipaya, Mdude Nyagali, Pambalu, Sativa, Heche ndizo zimesababisha 4R kusahaulika

    Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana. Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

    Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi. Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili Boniface Mwabukusi kumtetea

    Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Hayo yameelezwa na...
  12. J

    Mdude anachokisema inaonekana hakijui lakini acha tumweleweshe

    Mdude anachokisema inaonekana hakijui lakini acha tumweleweshe. 1. Katika historia, viongozi kama Mobutu Sese Seko wa Zaire waliendesha tawala za kidikteta kwa kulazimisha watu kuwa wanachama wa chama kimoja cha siasa na kuzuia uhuru wa kujieleza. Kitabu cha "The Anatomy of Fascism"...
  13. D

    Nitashangaa mno kama Mdude Nyangali atafika wikiedi hii bado hajaangukia mikononi mwa Polisi

    Salaam wanaJF. Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama. Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
  14. L

    Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

    Ndugu zangu Watanzania, Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili...
  15. G

    Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

    Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter ......................................................................................... Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa, YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA. Utambulisho. Mimi mtajwa hapo juu ni...
  16. R

    Mdude na Sativa VOCAL AS YOU ARE, chukua tahadhali, watawateka kama wamemfanyia hivi Bonifas Jacob!

    Punguza matembezi na all time muwe na wau wasiopungua 10 at any time. Simu zenu ziwe katika mode ya picha kuchukua picha za watekaji. Be in a strategic position to avoid being seen easily while taking pictures! Nimewataja hao tu lakini wote inabidi kuwa macho sana, hasa those vocal viongozi...
  17. M

    Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  18. Q

    Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  19. benzemah

    RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

Back
Top Bottom