Nina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo)
Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...