Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS...
Leo 18:50hrs 08/03/2025
Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
Hakuna asiyejua ushabiki wa kimpira kwa simba na yanga kwa raia wengi wa Tanzania!
Pamoja na kuwepo sheria za mpira lakini mapenzi huwa hayafichiki kwa refa!
Kwanini mechi za Derby ya simba na yanga waamuzi wasitoke inje? Na TV itumike kama mbadala wa VAR?
Haya tuseme Refa wa inje hayupo...
Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma.
Taarifa ya Bodi Ligi
Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa
Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?
Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa Wanachama watiifu wa Simba sports club
Pia Mzee wetu Rage japo aliwapa jina zuri Wanachama wa Simba...
Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana.
Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo.
Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga pale mechi zinapochezwa bila mashabiki.
Magoli ya Ateba na Mpanzu (2) ya siku hiyo yanastahili kelele...
Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia.
Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu.
Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
I will be short.
10 matches in, Arajiga ajapewa mechi hata moja ya Simba.
Ila Yanga kachezesha mechi 4 zote Simba hata moja. Kama hii sio match fixing ni nini?
Note: Wote wapo hapa hapa Dar.
Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba wachezaji na wafanyakazi wa JKT Tanzania kuacha njia na kuanguka mtaroni, na kusababisha majeraha...
Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa.
Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo toka kwa pande zote mbili za mashabiki, derby huu imekuwa na ulivuta hisia hata kwa watu wenye Karama...