Habari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa
Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.
KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane...
Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU.
Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
Wenye Akili Kubwa nina uhakika kwa Kichwa changu cha Habari hiki mtakuwa mmenielewa sana tu.
Tukutane Saa 3 Kamili leo baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC Kumalizika.
Kazi ipo....! Mangungu waombe Radhi.
Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane.
Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja vyumbani na baadae kurudi. Hii ikazua gumzo kubwa.
Siku kadhaa baadae mchezaji wa Yanga anayevaa jezi...
Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons.
Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku...
Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu?
Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa naunga mkono mstumizi ya VAR ingawa kuna watu wanapinga halafu watu hao hao wanalalamika maamuzi mabovu...
Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU.
Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili hii huko Sudan tuachane na hii ya wachumba/warembo itayochezwa kwa Mkapa.
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez.
Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia...
Hii ni taa ya tahadhari,
Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa.
Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya...
Habari wana JF
Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada
Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo;
Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia
Pili Inonga...
Hello soka lovers JF
Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls
Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa.
Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi Jiji Dar es salaam, dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.