mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. kipara kipya

    Maxime na minziro ni yanga lia lia tutegemee magoli ya mchongo na mechi mbovu kabisa

    Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
  2. nizakale

    TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  3. Shanily

    Wanaona wamejipata ila baada ya mechi na MC Algers, Side huenda tusiwe nae

    Wana utopolo sasa hvii wanaona gari lao limewaka hakuna malalamiko, oohh!! Kwanini Gamond kafukuzwa , ooh !! Mabeki hatuna. Malamiko yataanza baada ya Mc Algers kuwatungua 2 mtungi. Mnaokoteza wachezaji halafu mtegemee matokeo chanya club bingwa!?. Club bingwa ni mwendo wa kushenyetwa, gusa...
  4. SAYVILLE

    Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  5. SAYVILLE

    Tumefikia huku? Inakuwaje wengine tunabaniwa tusione nyuzi za mechi za Utopolo?

    Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani. Nikasema mmmh...
  6. S

    Mpanzu ataanza lini kucheza mechi la ligi? Kwann hajaanza hadi sasa?

    Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka?
  7. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya Yanga vs Mashujaa

    Coach Saed Ramovic Sasa tumeanza kumwelewa Wachezaji wa Yanga wameongeza fitness Prince Dube Hat trick ya kwanza kwenye NBC pl mwaka huu, nilimwambia ni suala la muda Sasa naamini tumemwona top scorer wa ligi, sio mpaka avizie kufunga penalties Job & Bacca Wamefanya vyema kama kawaida Yao...
  8. Waufukweni

    Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

    Kibu Denis amefunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba kwa kufunga magoli kwenye mechi na CS Sfaxien
  9. ngara23

    Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

    Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha Mashabiki hao wameng'oa...
  10. S

    Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

    Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona. Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
  11. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya Tp Mazembe vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri Nampongeza coach Saed Ramovic Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho, Mudathir na Nzengeli Kipa Diara amecheza vizuri mno alichezesha timu vyema, Majeraha aliyoyapata mapema...
  12. Waufukweni

    Mashabiki wa Simba waitosa klabu yao mechi ya CS Sfaxien. Mwitikio mdogo wa ununuzi wa tiketi licha ya kuwa TSh. 3000

    Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni. Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien Licha ya...
  13. Pdidy

    Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  14. Waufukweni

    Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  15. Waufukweni

    Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

    Wakuu Ndio kusema maji yamezidi Unga ama! == Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
  16. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya Constantine fc vs Simba fc

    Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa, Mafanikio Yao ni kuishia second...
  17. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya mc Alger Vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi Tatizo la coach anakosa mamlaka hajiamini kabisa Nimeshangaa sub ya Aziz ki kutoka mapema vile Coach Saed...
  18. muftee MD

    Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  19. Waufukweni

    Kimbunga chavuruga mechi ya Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool

    Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa. Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa Mamlaka ya...
  20. Allen Kilewella

    Thread: Mechi za timu zisizo maarufu Ligi Kuu Tanzania

    Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania. Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu. Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga...
Back
Top Bottom