media

  1. Graphic Designer & Social Media Marketer at Dark Earth Carbon March 2025

    Dark Earth Carbon on behalf of Masika Venture, is seeking a Graphic Designer & Social Media Marketer Job Location: Dar es Salaaam Short Brief of the Company: Masika Ventures is an umbrella organization that encompasses the business services functions of our companies including Upendo Honey...
  2. Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  3. Media Council of Tanzania (MCT) - Senior Programme Officer

    Background The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional standards and media accountability in the United Republic of Tanzania. MCT implements its four-year...
  4. M

    Ushauri wangu kwa Azam media limited

    Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi. Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania wote. Watu walisafiri, watu walilipia vingamuzi. Azam tv waliitangaza sana mechi hiyo kwenye radio...
  5. IPP media imeweza kuibua vipaji vingi vya wahandishi wa habari ambao wengine ni furahaa tukiwaona

    Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko. Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya ITV napo sikia mkoa fulani kuna manguri ambao nahisi habari zimekamilika. Upande wa redio one nako...
  6. Barua ya wazi kwa Azam media

    Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa. Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
  7. K

    Je ni uchawa au watu wa Media watupu

    Yaani ukisikiza maswali yao ni ya kishabiki na utoto mwingi wakati viongozi wa Chadema kila hoja walikuwa na data za kuonyesha. Hata maswali ya kisheria watu wa Media wamekuja na vijimameno ya vijiweni hawazielewi. Uchawa umegoma kwa kuzidiwa hoja. Badala ya kujali taifa ni uzushi na ujinga...
  8. Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  9. Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
  10. Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

    Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
  11. AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  12. Business Performance and Analytics Manager at Azam Media

    WE ARE HIRING! Position: Business Performance and Analytics Manager Education: BSc in Actuarial Sciences, BSc in Mathematics, or a related field. Key Areas: Design Customer Value Management (CVM) and Customer Experience strategies. Increase revenue and customer satisfaction. Develop...
  13. Hivi Uongozi Wa Taji Media, Hua Unasikiliza Kipindi Chao Cha Michezo Cha Asubuhi...???

    Wakuu Habarini... Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali. Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri...
  14. Ni nani ameikalia CHADEMA MEDIA TV mbona inamuhujumu TUNDU LISSU ?

    Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama. Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?. Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote. LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
  15. B

    Digital marketing and social media manager nipo hapa

    Mambo vp wadau Leo nmekuja km digital market. Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma. Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia rahisi ya kufikia watu ni kwa njia ya mtandao( website au social media) Basi ukisha hitaji soko la...
  16. Procurement Associate at Crown Media February 2025

    Summary: Crown Media is a leading media company committed to delivering high-quality content and innovative solutions to its audience. As a growing organization, we strive to create an environment that fosters creativity, teamwork, and professional growth. We are excited to announce an...
  17. Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  18. Kwanini media nyingi duniani zinaeneza uongo dhidi ya M23?

    Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23. Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano yanafadhiriwa pakubwa na nchi za Ulaya na kupotosha kuwa hao jamaa ni waasi ikiwa serikali kuu ndio...
  19. Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  20. Anahitajika social media and content manager wa kike

    =========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…