Kwa sisi tunaotumia majina yetu na CV zetu halisi tumeweka wazi, humu ndiyo connections zinapoanzia unakuta linked link, kuna anaekuhitaji akiona CV anakuunganisha mara umepata mchongo.
sasa kuna wale anakuona jina lako anakumbuka mlisoma wote Wailes, ana request friendship, unamuona ni Queen...
Wana JF,
Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita.
Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF.
Ni media ambayo hufichua maovu...
Kenya has seen marked improvement in this 2019 ranking. In spite of the spate of natural disasters brought about by climate change.
====
An estimated 55.4 percent of Tanzanian population or around 31,778,000 people are in multidimensional poverty while an additional 24.2 percent or 13,872,000...
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu...
Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai Kuona kila Tamasha ambalo huwa wanaliandaa Wao basi ni lazima tu ' Nyomi ' lake litakuwa Kubwa na...
Mwigizaji maarufu Goo Hara ambaye amezaliwa kwenye mji wa Seoul nchini South Korea ameigiza korean drama Kama City hunter, secret love na nyingine nyingi Leo amefariki akiwa na miaka 28.
Mwadada huyu amekuwa akiandamwa na skendo na media nyingi za Korea kitu kilichosababisha apate frustration...
Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa.
Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Nimejifunza mengi...
Kwa ukweli kuna sera zingine za kibiashara zinakera sana, mfano DStv unakuta wanataka malipo ya kifurushi cha mwezi wakati unakuta kwa mwezi mtu anapata muda wa kuangalia TV mara mbili au tatu.
Sasa kwanini kusiwe na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kulingana na mtumiaji atahitaji kifurushi...
Wanabodi,
wale wenye access angalieni Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV, kila siku za Jumamosi asubuhi, leo Mtangazaji Mahiri, Leonard Mapuli yuko na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Press Clubs, UTPC, Aboubakar Karsan, anamwaga nondo za kufa mtu...
Ulimwengu wa entertainment (burudani) unaenda kasi sana, vitu vinabadilika kila leo, level ya ushindani imekuwa kubwa pia, mbali na kushuhudia hamahama ya watangazaji kutoka Media House Moja kwenda Nyingine, na tulipofikia ilishakuwa jambo la kawaida sana.
Kwa wiki sasa nimekuwa nikifatilia...
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi.
Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo.
Ili kuendelea...
Hii wiki imeanza kwa kishindo upande wa Kiwanda cha media baada ya Wasafi Fm kufanya utambulisho wa watangazaji wa kipindi cha michezo cha Sport Arena, utambulisho uliojaa manjonjo na mbwe huku wakiwa wameacha vilio na mapengo kwenye baadhi ya vyombo vya habari,
Biashara ni Ushindani, eeeh ndio...
Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong.
Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five...
Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki wao na mgeni rasmi atakuwa waziri wa sanaa na michezo Harrison mwakiembe.ukiachana kuuzulia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.