Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za dhati za chadema Kukamata kiungo yaani media.
Japo ilionekana kuzidiwa na CCM Chadema walikuwa na nguvu...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
Wakuu habari za jumapili
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii
Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya...
Wanasema zubaa uchekwe na Ujanja ni kupata/kuwahi,
Unaweza ukawa uliisha isikia redio inaitwa TONE RADIO (TONE MEDIA COMPANY) Hawa jamaa waliibuka mnamo mwaka 2012 wakiwa na namna ya urushaji wao wa matangazo kwa njia ya mtandao (online), hawa walikuwa wanapatikana Kijitonyama Tone House Umoja...
Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
Great Thinkers,
Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida.
Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21...
Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi JAMHURI inapenda kuufahamisha umma kuwa katika kikao cha pamoja kilichofanyika Aprili 29, 2020 kati ya wafanyakazi na mwajiri; tumekubaliana kupunguza asilimia 50 ya wafanyakazi kwa utaratibu maalum kuepusha kampuni isianguke...
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha
Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali...
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita.
Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
Wanabodi,
Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kutokea Mwanza, kikiongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendu na huku Dar huwa niko mimi tukikuchambulia...
Wanabodi,
Wale wenye access, naombeni muangalie TBC, kuna kipindi live cha majadiliano kikiendeshwa live kutoka Dodoma kikiongozwa Mtangazaji wa TBC Dodoma, Victoria Patrick akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma, Habel Chidawali, ambaye pia ni mwandishi wa...
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Reports to: Regional Director, Africa (based in London)
Contract duration: 36 months (with the possibility of extension)
BBC Media Action in Tanzania
BBC Media Action is currently implementing several multi-year projects in Tanzania addressing themes such as...
Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...
Ukipitia Vyombo vya Habari kama Clouds tv na Mwananchi bila kusahau na vinginevyo vichache utaona wameandika kuwa akina Mbowe na Wenzake wameshindwa Kulipa Faini leo Mahakamani katika muda uliopangwa na wameenda Segerea wakimaanisha Kuanza Vifungo vyao . (Mainstream Media)
Lakini hapo hapo tena...
Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed.
Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha...
Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora...
Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili.
Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi...
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika kwa mambo machafu lengo lao ni nini?
Dudu Baya "Ameongeza pia kuna siku nilisikia mtangazaji ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.