Kwa wadau wote wa Tasnia ya hapabari hapa nchini mnaweza mkalitazama hili na kulijadili kwa mapana huenda likawa na matokeo fulani hasi ama chanya kwenye sekta ya habari hapa nchini.
Tumeona matukio mengi tu na niseme labda ni tabia inayochipuka kwa kasi kubwa kwenye sekta ya habari kwa hiki...
Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa.
Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media
Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.
Ipo haja ya kuanzisha Jimbo la Social Media. Kura zihesabiwe kwa idadi likes, followers etc. Humo kina Steve Nyerere, Pilipili, Kapiga, E.mbasha, Mpoki, Dr. Cheni na Zama ndo wachukue fomu, sio haya Majimbo halisi maana hawawezi.
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA
Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya Mbezi juu kwa tiketi ya CCM.
Chanzo: Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.
Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
Wanabodi,
Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....
Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza...
Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni .
Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
Osei-kwame, also known as Despite, is a level-headed businessman with a very good background in music production and knows the broadcasting industry like the back of his palm.
Osei-Kwame is the owner of the Despite Company Ltd which is a trading company and with subsidiaries in the media...
Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa.
Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
Kumekuwa na tabia ambayo ni very common haswa kwenye hizi online media sio zote lakini asilimia kubwa ya kuandika kichwa Cha habari ambacho akiendani na content ya hiyo video na imekuwa Kama fashion unaweza kukuta kichwa Cha habari kinasema "Country Boy amtolea kauli chafu Ommy Dimpoz" ukifungua...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Why Tanzania, Kenya trade ties blow hot and cold
The price of Tanzania’s onions imported by Kenyan traders keep shifting. It increased from Sh108 per kilo in February this year to Sh118 in April due to logistical challenges posed by coronavirus testing at the Kenya-Tanzania borders.
When...
Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza.
Wawakilishi...
Wanugu hawataki kabisa kushughulisha akili zao hata kwenye mambo simple kabisa.
Celebrity mnugu kaweka caption yake ambayo inahusu masuala nyeti yanayo gusa maisha ya wanugu nchini Marekani. .
Comments za wanugu:
1. ,😍😍😍🤗😘😅
2. 😁😁😁😁😁😁
3.😗😗😗😗😗😗
4.🤗🤗🤗🤗🤗
5.🤩🤩🤩🤩
6.😉😉😉😉😉
7. 😉🤩🤗😗😅😘😙😍😍
Kuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.