media

  1. kidadari

    Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  2. TOHATO

    Maisha bila Social Media yatawezekana?

    Tangu tarehe 27/10/2020 Kilichokuwa kinaendelea ni kuminywa (kufungwa) kwa mitandao ya kijamii. Swala ambalo limehusishwa na uchaguzi kwa namna moja au nyingine. Ila chaajabu ni kwamba hawajafungia Internet, maana yake ni kuwa waeza kutumia bando lako kwenye maswala mengine ila sio Social...
  3. sky soldier

    Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

    Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu. Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media, watu wengi wanaofatilia hizi media ni raia wa nje ya marekani wakiwemo Watanzania wa humu Jamii...
  4. B

    Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani. Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua. Ahsante kwa...
  5. Zitto

    Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  6. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  7. pingli-nywee

    Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

    Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
  8. crankshaft

    Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

    Bila kutaja sababu, kupitia ukurasa wake wa instagram diva the bawse ametangaza rasmi kuacha kazi. Ameandika hivi:
  9. Infantry Soldier

    Psychological Fact: Why are those who spend much of their free time (after work) on social media platforms, less talkative in real life environment?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  10. MK254

    Kenyan journalists Making it Big in International Media

    From Left: Larry Madowo (BBC World), Edith Kimani (Deutsche Welle) and Sophie Ikenye (BBC). KENYANS.CO.KE Kenyan TV anchors are household names in their own right as the country tunes in to watch them presenting news during prime time hours. Some have gone on to make a mark in international...
  11. H

    Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
  12. D

    How to social media -- Part 2

    Hello waungwana, let me tell you bout social media, au vip? Oky I won't wait for your answer 😅. Social media imekuja kuondoa mtu wakatikati. Au ww unaonaje, kwasbabu Sasa hivi mteja na biashara wote wapo Insta, Facebook etc. Wote wanauwezo was kupost, kucoment kushare etc. Kwahio ni kama...
  13. D

    How to Social Media

    Hello good morning peoples. Are you in social media platforms, Showcasing your business? How loud are shouting there? Or you are there just to keep up with the utandawazi thing? You have to shout, Lauder my freind to achieve more. So that you see it's impact to your business. Siri ya...
  14. K

    Uchaguzi 2020 Ombi mahsusi kwa uongozi wa CHADEMA Media juu ya hotuba za Tundu Lissu

    Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo. Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
  15. PAZIA 3

    Uchaguzi 2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
  16. J

    On Social Media, Only Some Lies Are Against the Rules

    Your guide to every major social media company's misinformation policies on vital topics from COVID-19 to voting An outrageous conspiracy theory vilifying a political candidate. A meme encouraging shots of bleach to fend off COVID-19. An official-looking post falsely announcing that your...
  17. Return Of Undertaker

    TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?

    Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.
  18. Roving Journalist

    Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  19. K

    Uchaguzi 2020 Vyombo vya Habari vya Tanzania vimeshindwa kuandika na kuripoti pingamizi, badala yake wameripoti matokeo ya pingamizi

    Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa Baada ya kurekodi na kuandika, hakuna chombo chochote kilichoripoti Kama habari kubwa kuwa Lipumba na Mzee...
Back
Top Bottom