Kwanza utaona ujinga wa baadhi yetu juu ya kupambanua mambo makubwa ya Taifa. Nimetumia ujinga kwa kuwa "UJINGA" siyo tusi bali ni ukosefu wa maarifa ya kitu fulani ambacho hukijui. Ukishafundishwa ujinga unapotea.
Pili nimeona upande wa pili ambao ninaweza kusema hoja zao ukizipima zinajengwa...
Nakutajia baadhi ya nyimbo kali ambazo zilistahili kuwa kubwa lakini hazikupewa nafasi kwenye mainstream.
All my love - Ryan Leslie
Never die- DJ Drama
Going down- DJ Drama
Hiphop - DJ Khalid
All aboard- Romeo Santos ft Lil Wayne
Not that simple - Mike Posner
Reminded - Tyga ft Adele...
Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.
Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani.
Source: THE INDEPENDENT
Angalau huyu kwa kutumia katuni ameongea kitu kikubwa ambacho mwandishi wa kawaida story yake isingetoka👇🏾.
Huyu ni mwandishi wa nje ya Tanzania au ni yule asiye na mipaka, yawezekana yupo hapa nchini ila katumia chombo cha nje, ambapo hapa ndani ni hofu inatawala 👇🏾...
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
TAZAMA VIDEO HAPA
Ni siku ambayo media ilileta taharuki kwa kuijazia chumvi habari ya Mwafrika kuuwawa na mapolisi kitu kilichopelekea Wafanya biashara kuingia hasara kwa kuvamiwa maduka , Watu wengi kuuawa, watu wengi kuwa vilema, Mindombinu kuharibika, Nembo za taifa kama masananu...
Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day).
Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile. Naomba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0656 249 607.
Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii...
Nilikuwa jana na jamaa mmoja ambaye ni mtangazaji wa kituo kikubwa cha TV bongo ananimbia hali ya kifedha ya media nyingi haswa Tv ni tete,hapo sisemei magazeti ukiondoa yale ya michezo maana yana afadhali.
Anasema afadhali radio bado sponsors wako wengi haswa vipindi vya michezo na vile vyenye...
Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
Kume kuwa na fununu kwamba president Trump anaweza kujiunga tena Myspace baada ya kupigwa kufuli na social media nyingine.
Vile vile mtoto wake wa kiume Trump Jr amedokeza wanaweza kuanzisha social media yao wenyewe.
Je, Myspace watafuata mkondo wa makampuni mengine kama Apple, Twitter...
Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari.
Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani.
Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
Wasalaam,
Wakazi amemtaka Babu Tale kusema ukweli kuhusu ugomvi wa Diamond na baadhi ya media kuliko kujificha nyuma ya dini .
Namnukuu wakazi kupitia ukurasa wake wa instagram
"Ndugu @babutale kama umeamua kufunguka kuhusu machafu yanayotokea nyuma ya pazia kwenye tasnia, BASI FUNGUKA... Ila...
Tunatoa pole nyingi kwa familia
===
Uongozi wa Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Thamra Kassim, kilichotokea mapema leo Dar Es Salaam.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Asee nimekua rafiki sana wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2009 lakini naona hakuna kitu nimegain zaidi ya concentration yangu kuwa katika vitu visivyokuwa na maana. Kama niliweza kushinda jaribu la kupiga punyeto na kuangalia porn nadhani nitashinda.
Nilichogundua mambo mengi tuyaonayo...
Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.
Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.
Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
Bongo yetu hata kimemo tu kikitoka kwenye Ofisi ya Ubalozi ya Muzungu tunaanza kutafutana, mtu akiandika maoni yake kuhusu nchi yetu kwa jinsi aonavyo yeye kwenye Magazeti ya Muzungu tena hata siyo main page kwenye vijikurasa vya ndani huko nchi nzima tunatetemeka na kuanza kujadili, I mean hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.