Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media...
Sasa ndugu zangu wa CHADEMA, kama mnajua fika kwamba serikali kupitia Dr. Abbas na TCRA wanahujumu katika vyombo vya habari kwanini msitumie mbinu mbadala kwenye press conference zenu na pia hata mikutano yenu?
Katika presser ya Tundu Lissu leo, chombo kimoja tu - DAR MPYA - ndicho kilikua kina...
Moja ya mambo yatayoigharimu CCM hii ya Magufuli, ni hiki kitendo cha mikutano ya Lissu inayovuta maelfu ya Wananchi kusambaa mitandaoni huku kwenye mainstream Media kama vile tv na redio mikiutano hii hairipotiwi wakati wananchi wanategemea kuiona ikiripotiwa katika vyombo hivi vya habari...
Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa Waandamanaji kutaka Rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko kujiuzulu
Mmoja wa Wafanyakzi hao akihojiwa na Kituo cha Interfax amesema wanaenda na wao kuandamana na takriban wafanyakazi 100 wamekusanyika...
“Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini.
Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani...
Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia.
Social media zina nguvu kuliko hizi...
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.
Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be...
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa...
CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu?
Yaani mnazubaa...
Ndugu wananchi !
Naamini mnaanza kuona mwenendo wa baadhi ya vyombo vya habari kuipendelea CCM.
Naomba kuwauliza lisu ameikosea Nini media house ya Tanzania?
Lisu alinusurika kuuwawa kwasababu ya kutetea watanzania na madhila mpaka ya kupokonywa ubunge ni kwasababu ya kutetea haki.
Hivi...
Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais.
===
Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu
Kuna audio ya Polepole...
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua??
Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu inashangaza
Mara asambaze sijui picha za utupu duh yaani nakuwa hoves kabisa
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia...
Leo nilibahatika kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania...
Unajua siye wengine hapa ni CCM.
Lakini tangu misingi ya chama ianze kukiukwa baada ya Mwalimu JKN kuondoka (RIP mzee), sisi wana CCM asilia tumejikuta njia panda na imefikia mahala tumejikuta tunatamani chama chetu kiwekwe benchi na upinzani ili kiamke usingizini.
Ndiyo maana mnatusoma mara...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai katika siku ya leo. Uongozi wa CHADEMA, katika kitengo cha media communication kimeprove failure katika jambo hili muhimu la kichama, na hii inanipa maswali mengi ya kujiuliza. Mojawapo ya maswali ni kama yafuatayo:
Je, hawa jamaa hawajui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.