Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu ,
Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake.
Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
Wanabodi
Habari zenu.
Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu.
Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
Wanajamvi
Habari za mihangaiko na poleni.
Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja.
Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii...
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limekuja na kauli mbiu kuelekea Mei Mosi 2022 ambapo humo nani wamegusia kuhusu mishahara na maslahi bora ya wafanyakazi.
Tamko hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa TUCTA ambaye pia ni Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Cde.Hery H.Mkunda.
Kauli mbiu...
Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa.
Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Tarehe 01 Mei 2021, Kanisa Katoliki Duniani lilisherehekea sikukuu tatu kwa mpigo. Kuna kumbukizi ya miaka 130 ya waraka wa Papa Leo wa XIII uitwao “Mabadiliko ya Kimapinduzi (Rerum novarum),” kumbukizi ya miaka 30 ya waraka wa...
Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi.
sijajua kama tatizo liko wapi.
Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu mwenzako hasa kwa mambo sensitive ya ktaifa kama hili la haki na masilahi ya watumishi wa umma?
Swala...
Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.
Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
MAY DAY TUWAKUMBUKE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA YA MKOLONI
Toka jana nilikuwa nawaza niandike nini kuhusu May Day na Wafanyakazi.
Ikawa nimekwama.
Siku hizi kuna Kiswahili vijana wanasema, ''mara paa,'' nikaona video ya Paul Makonda anasema kama katika maandamano ya May Day angeona bango la...
Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa Watumishi zilipozimwa rasmi.
Kwa namna zilivyoandaliwa ni Kama wanamategemeo makubwa na Rais mpya bila...
Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara...
Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania.
Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu.
Matarajio kutoka kwa Rais:
1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
Habari za asubuhi wananchi!
Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia.
Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo.
Kiki itatafutwa kwenye kipengele cha madaraja mapya kwa watumishi zaidi ya elfu 90.
Kama mtamshangilia sana basi...
Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe.
Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
"Marufuku kwa watumishi wa serikali kudai nyogeza ya Mshahara"
Anasema walioandamana kudai nyongeza ya Mshahara mei mosi walipaswa kuchapwa viboko.
Nini Maoni yako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.