Kuna ofisi moja nilipita, ya serikali, ndugu wapokezi (receptionists) jueni kuwa Mungu amewaweka hapo ili mhudumie wananchi, acheni kiburi, fanyeni kama mnafanya huduma kwa wanadamu mliyotumwa na Mungu kwasababu kwanz amnapokea mshahara kutokana na kodi za wananchi hawahawa! acheni dharau...