membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

    Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
  2. J

    Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  3. J

    Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

    Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu. Ngoja tuone.
  4. Yuko wapi aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe?

    Wakuu kama ilivyokuwa kwa Kinana, Balozi Membe hajaonekana kwenye matukio makubwa ya kitaifa kuanzia msiba wa Hayati mpaka shughuli za kitaifa zilizofuatia Yuko wapi? Kama sikosei muda mchache kabla ya uchaguzi alienda zake Dubai na sina kumbukumbu kama alirudi tena nchini. Nadhani hisia zake...
  5. Ukimya wa Bernard Membe

    Kimya mzee wa watu! Ukweli ni kwamba huwezi kushindana na JPM ukabaki salama kwa sababu JPM ni chaguo la Mungu. Mbwembwe, majigambo na hata kumtisha JPM eti akiguswa atanuka leo; yote hayo ni maneno ya mkosaji na hayana tija tena. Mitandao ilimdanganya anapendwa naye bila kufanya utafiti...
  6. Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

    Leo ni mazishi ya makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na mwili umeshawasili msikiti wa Maamur kutoka Lugalo. Watu kadhaa wamefika ikiwemo kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe, mufti wa Tanzania na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. ======== Zitto Kabwe: Assalam...
  7. K

    Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

    Nawasalimu wanabodi. Mwaka 2015 Mwanadiplomasia mahiri na kachero mbobezi Bernard Membe alijaribu kuusaka Urais kupitia CCM lakini akakatwa jina lake hatua za mwisho. Macho na masikio ya wengi yalikuwa ni kwa Edward Lowassa na Membe lakini ngekewa ikamdondokea John Magufuli ambaye sasa ni...
  8. M

    Hivi mzee Membe alisharudi CCM?

    Ni muda sasa sijamsikia mzee wetu kachero mbobezi Bernard Membe hivi alisharudi CCM?
  9. J

    Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  10. Ujumbe kwa Membe: Kuwa mpinzani Tanzania ni jambo gumu na la wito kweli kweli

    Wandugu habari kwenu. Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana. Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia kujikunyata na kujiita mzee wa dk 89. Wewe Membe leo kaikana ACT hadharani. Ujumbe kwa Membe, kuwa...
  11. K

    Bernard Kamillius Membe ajiuzulu nyazifa zote ndani ya ACT Wazalendo. Kuwa mshauri wa kisiasa wa Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mahiri Bernard Kamillius Membe tarehe Mosi January, 2021 ataongea na dunia kijijini kwake Rondo Lindi. Duru za kisiasa kutoka kwa watu waliokaribu na kada huyo wa zamani wa CCM zinaeleza kwamba pamoja...
  12. Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

    Msikilize mwenyewe === Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar (SUK) usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwa wananchi. Unguja. Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif...
  13. Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

    Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote! Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa Watanzania kama vile ameshakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu! Wakati wa kampeni...
  14. Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
  15. Bernard Membe yu wapi jamani?

    Ndugu wana jukwaa salam, Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo. Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse ninuke ama mzee wa bao la dakika ya 89 katika kinyang'anyiro cha ofisi namba 1 jamani yu wapi? Au ni...
  16. J

    Uchaguzi 2020 Membe hajafanya kampeni lakini kawa namba 3, CHADEMA nendeni na Benard Kamilus Membe mwaka 2025!

    Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA. Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa. Membe ni wa...
  17. S

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

    Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe...
  18. Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

    LAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero (Membe) kwenye Chama hicho ndio mwanzo wa kujiangusha wenyewe. Membe hakuridhika kukataliwa na CHADEMA...
  19. Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  20. S

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

    Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter: Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…