membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

    Amani iwe nanyi wadau. Heri ya siku ya jumapili!! Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia 1. Emerson Mnagangwa Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo...
  2. Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

    Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilikataliwa. Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa...
  3. J

    Uchaguzi 2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  4. Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

    Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea? Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo bao ni watu kuiangalia sura yake!?! Mbona hatumsikii wala kumuona jukwaani? Mgombea gani wa Urais...
  5. R

    Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

    Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo! Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
  6. M

    Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

    Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura. Lakini pamoja na hayo lazima nikiri kuwa chama kinachonivutia nchini kwa sera, kuzungumza masuala ya wananchi kwa hoja...
  7. Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  8. Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

    Amani iwe nanyi wadau! Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi. Naomba nirudi kwenye mada...
  9. J

    Uchaguzi 2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

    Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais. Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza...
  10. Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Salaam Wakuu, Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar. Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze. Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread. Stay tuned. =====...
  11. M

    Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar. Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’? A) Atafanya kama Dk...
  12. Uchaguzi 2020 Kwanini Membe hakujitoa ikiwa hakupiga kampeni?

    Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu. Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi ya kura kunaweza kuwa na faida kubwa kwa CHADEMA na Lissu siku ya upigaji kura. Wote tunajua vita...
  13. Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  14. Uchaguzi 2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

    Wakuu. Hivi huyu mgombea wa ACT wazalendo ndugu Benard Membe, kampeni zake anafanyia wapi, maana simsikii kabisa?
  15. Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  16. U

    Bernard Membe amjulia hali Zitto atakayefanyiwa upasuaji kesho baada ya kupata ajali

    It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
  17. Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

    Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
  18. D

    Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge wa Kigamboni kupitia ACT Wazalendo anapitia mazingira magumu mno kisiasa. Membe kawaangusha sana watu wake

    Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo. Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
  19. B

    Hongera Membe, ACT - wengine Salamu kwenu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili. Bwana Membe hongera: Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu. Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe...
  20. Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…