membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo na imani haba kwa mgombea wao Bernard Membe

    Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao. Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
  2. Uchaguzi 2020 Membe, soma alama za nyakati

    Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya. Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi. Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
  3. Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wanaweza kumfukuza uanachama Membe kwa wakati huu?

    Maneno yanayoendelea mtandaoni ni mengi ila inaonyesha Membe kakaza hawezi kuruhusu kuacha kujaribu kutetea ndoto yake ya kuwa rais. Awali Membe alijiamini kuwa na watu wengi nyuma yake ambao angehama nao, lakini akajikuta ameondoka mwenyewe, wale wachache kutoka CUF na CCM waliojiunga na ACT...
  4. Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
  5. Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  6. D

    Mgombea Bernard Kamilius Membe wa ACT - Wazalendo amekwama?

    Vipi mgombea huyu hasikiki kwa muda sasa toka amerejea kwenye "matibabu" Dubai? Kama mitikasi imevurugika ACT Wazalendo, kwanini isiungane na Lissu kuongeza nguvu kama CHADEMA walivyoamua kumuunga Maalim Seif Zanzibar?
  7. Uchaguzi 2020 Mzee Membe uko pande zipi? Nini shida sikusomi kabisa.Umemsikia Bashiry Ally? Tupe ukweli

    Mzee wangu Membe ulisafiri kwenda Dubai falme za Kiarabu kwenye vikao vyako vya kila mwaka,jamii ya kitanzania ilikusubiri kwa hamu ili kuanza kampeini katika maeneo mbalimbali nchini.Umerudi salama mungu ni mwema hujaonekana kabisa kwenye kampeini zako. Kibaya zaidi katibu wako alikamatwa pale...
  8. C

    Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  9. Q

    Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

    Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe
  10. Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

    Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo. The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana! Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni...
  11. Q

    Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

    BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo. ==== KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo...
  12. J

    Uchaguzi 2020 Membe atangaza kimbunga cha kumbakumba atakapoanza kampeni rasmi 17/09/2020

    Mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mh Membe ametangaza kuanza rasmi kampeni kesho 17/09/2020 na kwamba washindani wake wakae chonjo. Membe amesema anazo mbinu nyingi ambazo atazitumia kuhakikisha anaibuka mshindi. Maendeleo hayana vyama!
  13. Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
  14. Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

    BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya Siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Na kwamba, kusuasua kwa kampeni hasa vyama vya upinzani nchini, kunatokana na ukweli kwamba, wagombea wengi wana...
  15. Bernard Membe: Nikitua toka Dubai nitaongea na Wanahabari, Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais

    Huyu bwana anadai kuwa sasa afya yake imeimarika na kesho saa nane mchana atatua JNIA hivyo wanahabari waende. Kumbe alikuwa anaumwa. ===== Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press...
  16. Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo wapo tayari kuunga mkono CHADEMA, Membe bado hajajibu suala kama atakubaliana

    ACT-Wazalendo ipo tayari ubia na CHADEMA KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kipo tayari kushirikiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuungana mkono kwa wagombea wanaokubalika kwenye majimbo ili waweze kuibuka na ushindi. Alitoa...
  17. ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
  18. Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

    HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
  19. Uchaguzi 2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli? Sasa hivi yupo ITV. === Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali. Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
  20. Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…