Nimeangalia mkutano wa Membe kule Kusini. Amewaambia wananchi wa Lindi wamuulize Magufuli maswali 4.
1. Wapo wapi watu wetu waliopotea? Yaani wale waliotekwa na hatuwaoni tena.
2. Wamuulize kwanini mikoa ya kusini imesahaulika kwenye miradi ya barabara
3. Kwanini hakuendeleza mradi wa gas
4...