member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  2. C

    Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  3. Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

    Ughonile.. Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika. Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema...
  4. Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  5. Avatar ya member gani ulikuwa unaiangalia juu juu lakini baada ya kuiview ukaielewa vizuri

    Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka nilipo amua kuiview Mahondaw huyu nilikuwa sielewi ni nini kumbe ni shape ya mwanamke Meneja wa...
  6. TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET...
  7. S

    Hello, Rashidi Fukwa a new member here!

    Hello group, I am a new entrant!
  8. New member

    Niaje wakuu JamiiForums mitano tena nimelipenda hili chama limenifurahisha nimeamua kujiunga nalo sina mengi.
  9. Tuomba na sisi mafundi ujenzi wadogo wadogo utukumbuke kama ulivyowakumbuka waigizaji

    Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi. Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa. Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
  10. M

    Liwalo na liwe

    I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu. I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo. Wasaliti, wadhulumati na waonevu wote kufeni wote na msifufuke hata mkifa katika Yesu. Nyau nyie
  11. MARVELS: A crew member has passed away after falling from the rafters

    A crew member working on the set of Marvel's "wonder man" series has sadly passed away after falling from the rafters. "Our thoughts & deepest condolences are with his family, friends and our support is behind the investigation into the circumstances of this accident" says Marvel. ⭐Pubity
  12. C

    Yuko wapi jf member katoto kazuri

    Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
  13. L

    New Member

    Hello guys, Nashukuru kupata nafasi ya kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili, nimatumaini yangu nitajifunza mengi mazuri kutoka kwenu hasa kwenye Siasa, ushauri, urembo na mengine mengi. Shukrani
  14. UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  15. Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

    1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja 2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga 3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo 4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF 5. Member wengi wa JF...
  16. Mnapata wapi ujasiri na akili ya kulinganisha maendeleo yaliyoletwa kupitia CCM kulinganisha na nchi za Ulaya?

    Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
  17. Wako wapi member hawa?

    Habari wadau WA jukwaa hili la MMU, tujikumbushe Kwa kuulizia member hawa baadhi waliochangamusha Jukwaa hili laa MMU NA Jf cheat chat kuanzia 2008-2015 1) lara 1 2) Watu8 3) AshaDii 4) Mtambuzi 5) FaizaFoxy Members ni wengi sana Hadi nimewasahau na username zao hili jukwaa lilikua la moto...
  18. New member

    Hello, ninafuraha kubwa kuwa miongoni mwa member humu ndani.
  19. Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
  20. Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

    Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024. 1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…