Wakuu humu ndani leo nataka kuwasalimu wote humu,
Kama ifuatavyo;
•Kama wewe ni member wa JF umo humu kwa zaidi ya miaka mi5 hujawahi kuchezea Bunn 👉Shikamoo
•Kama wewe ni member unaandika nyuzi haijalishi zinakiuka na kufutwa ila bado unapost 👉 Shikamoo
•Kama wewe ni member ambaye unashiriki...