Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Habari wakuu.
Mmebarikiwà sana na Mungu WA Mbinguni.
Nilileta thread moja humu kuhusu kutokuwa na mapenzi na mama yangu. Nilipata kitu kikubwa toka kwenu. Ngoja Leo niwashirikishe na hili la Mzee wangu.
Mzee wangu alikuwa ananikubali Sana sana kitu ambacho niligundua kulikuwa kinatishia...
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa?
Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka...
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya"
Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021.
Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF...
Sio jambo la kushangaza ila ni ukweli mtupu baada ya kuwa na zunguka kwenye utafiti wa kujifunza.
Tanzania tuna madini kama kweli tunaweza kufahamu jinsi ya kuyachenjua basi tungekuwa mbali.
Kwanini?
Ukosefu wa elimu kuhusu jinsi ya kupata madini kama gold ndio unafanya kutofahamu mpaka...
Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.
Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.
Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali...
Wana JF,
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu. Mambo yalifanywa na viongozi wetu yanaonyesha kwa kiasi kikubwa suala la maadili katika nchi yetu limepigwa teke. Taifa liimeoza kabisa. Uozo umeanzia kwenye kiini. Kuna mambo ambayo pengine hayatakushangaza iwapo yatafanywa na wakora mtaani...
Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache.
Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
Habari,
Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.
Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.
Mawasiliano please PM me your phone number.
Ahsante.
Leo tarehe 15 Julai 2021, Selikari isiyopenda kukusanya kodi ya dhulma kupitia wizara yake ya fedha imeanza rasmi kutekeleza makato ya kodi ya kizalendo inayokatwa moja kwa moja katika miamala ya kifedha ya mitandao ya simu. Sina tatizo na kodi hiyo ila tuna mengi ya kujadili kuhusiana na...
Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku.
Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana
The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE...
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?
Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi.
Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
Kwa nijuavyo mimi siasa ni mchezo wa kusoma vizuri alama za nyakati, tangu wanasiasa wakomavu hata wachanga hutafuta mambo mazito na magumu anayokabiliana nayo mwananchi siku kwa siku.
Hayo mambo ndiyo hutangulizwa mbele kuwa chambo cha kampeni yoyote mnayopiga. Nakumbuka kwa mfano CHADEMA...
Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.
Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.
Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka...
CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI.
Na Robert Heriel.
Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.