Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki.
Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
Kuna sheria kibao ambazo ziliwekwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe moja kwa moja kwenye agano la kale.
Sheria za wanyama wa kula alituamuru tusile nzi, vinyonga, punda, mbwa, paka, pweza, popo, nguruwe, nyani, mbu, n.k.
Sheria za mavazi alituamuru tuvae mavazi ya kusitiri, wanawake wasivae suruali...
Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation.
Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni za klabu bingwa.
Mechi ngumu huchezwa na wachezaji wanaoaminika na kocha, lakini watu wanajifanya...
Licha ya mataifa makubwa kama Canada, Uingereza, Australia, Ujerumani na mataifa mengine ya ulaya hayakupiga kura lakini Marekani ilipiga kura wazi wazi kuisapoti Israel kuendeleza operesheni za kivita ukanda wa Gaza.
Hali hii ilileta matokeo ya kura nyingi hasa kutoka mataifa ya kiarabu kuamua...
Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo sikuwa na taarifa za kinachoendelea mtandaoni. Novemba 29, 2023 nilisafiri kwenda Nairobi, na hatimaye...
Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
"Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."
Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais.
Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi...
Kwa takriban mwaka mmoja sasa tangu Barabara ya Tabata kuelekea Vingunguti ikamilike kwenye matengenezo, lakini bado Taa za kuongoza Magari hazitumiki katika eneo la Baracuda hali inayoongeza Foleni nyakati za Asubuhi na Usiku.
Kama hazikuwa na maana kwanini zilijengwa na bila shaka kwa gharama...
Wakurugenzi walioleta mabasi mengi zaidi mpaka sasa kwa mwaka 2023
1. Abood kaleta basi 36
2. Shabiby 30
3. BM 22
4. Kimbinyiko 10
5. Kisire Luxury 6
6. ?
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
Kwa sasa amepiga...
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi.
Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi...
Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi.
Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana.
Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa.
Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
Chimbuko la mikataba mitatu iliyosainiwa jana ni mkataba-tata kati ya Tanzania na DP World. Mkataba huu ulipangwa kuchakatwa; kujadiliwa na kusainiwa sirini. Ulipovujishwa na 'mzalendo', ukaibua mjadala mkali. Wengi waliupinga na kuupiga.
Serikali ikaiteka hoja kwa kudai kuwa inaruhusu maoni...
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.
Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana...
Chips ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwenye viazi. Chakula hiki kimekuwa kinahusishwa na matatizo mengi ya kiafya ikiwemo magonjwa ya moyo.
Wataalam, tusaidieni ni kipi hasa kinachofanya chips iwe mbaya kiasi cha kuhusishwa na mambo mabaya.
Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya....
==================
ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER
Ukrainian activists from the Cyber...
Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone .
Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia .
Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo.
---...
Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo.
Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.