NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?
Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=
Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=
Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama...