Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 aisee nimejionea Kwa macho yangu betting inalipa aisee hapa anatuomba ushauri ma broo wake aisee sijui tumpe ushauri Gani Wana jamii forum najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana MODS: naomba huu Uzi msiupeleke kwenye jukwaa la kubet nataka kupata maoni ya wadau hapa
Nilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.

Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
 
Back
Top Bottom