Umemaanisha nn mkuuAna stake 1m?
Umemaanisha nn mkuuAna stake 1m?
HahahaaaNenda kampe Mama yako hela akushikie utanishukuru
Kwahiyo wote ambao hawabeti ni masikini au nyie woooote mnaobeti ni matajiri?, huo ni ujinga wako na familia inayokuzunguka yaani umekosa cha kuandika hasa hoja za msingi zinazokuzunguka ukaona uje na mshindi wa betting wa 58mln,hizo hela zitaisaidia nini jamii inayokuzunguka itanunua dawa,madawati,nk?Shida nini mbona hasira Mimi sijakuletea huo umasikini wako ulionao
Tuingie barabarani tuzibe barabara au sio?Kwahiyo wote ambao hawabeti ni masikini au nyie woooote mnaobeti ni matajiri?, huo ni ujinga wako na familia inayokuzunguka yaani umekosa cha kuandika hasa hoja za msingi zinazokuzunguka ukaona uje na mshindi wa betting wa 58mln,hizo hela zitaisaidia nini jamii inayokuzunguka itanunua dawa,madawati,nk?
Kwanini usihamasishe humu watu waungane na kujitolea kutatua changamoto zinazowazunguka kwa pamoja??
Duuuh ndo mana naonaga madogo wapo na peni na karatasi....sasa huo si mkeka wa mwezi mzimaStake 20k
Odd ilikuwa 915
Binafsi namshauri atafute kina Lulu Diva, Mimi Mars, Wema Sepetu, au Kajała atumie nao ili apate ku-trend mitandaoni.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Atengeneze jinaBinafsi namshauri atafute kina Lulu Diva, Mimi Mars, Wema Sepetu, au Kajała atumie nao ili apate ku-trend mitandaoni.
Hivi una akili kichwani changamoto zinazozunguka watu nizitatue Mimi serikali mbona kama umechanganyikiwa yaani mtu ashinde pesa zake kwenye bet halafu pesa zake zikanunue madawati dawa kichwani kwako Kuna MaviKwahiyo wote ambao hawabeti ni masikini au nyie woooote mnaobeti ni matajiri?, huo ni ujinga wako na familia inayokuzunguka yaani umekosa cha kuandika hasa hoja za msingi zinazokuzunguka ukaona uje na mshindi wa betting wa 58mln,hizo hela zitaisaidia nini jamii inayokuzunguka itanunua dawa,madawati,nk?
Kwanini usihamasishe humu watu waungane na kujitolea kutatua changamoto zinazowazunguka kwa pamoja??