Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
mwambie akamtongoze WEMA SEPETU ndo ajua kwamba hiz ni milioni 35 ,au 350,000.......
 
Miaka 29 siyo mdogo acheni kujidogosha mimi nikiwa 24 nimeshaanza kupanga tofali ninapolala leo.

Sasa azitumie vibaya aje kusema hakushauriwa wakati miaka 29 ni kijana anaweza kujiongoza mwenyewe.
 
Atafute biashara au afungue fixed ac bank aweke km10 milion zen baada ya miaka atapata faida au anunue hisa

Ila usimshauri ajenge maana akienda kujenga ataishia kumiliki nyumba afu atarudi kwenye umaskini na kibaya zaidi anaweza akaiingiza iyo pesa kwa ujenzi na mwisho wa sku akajikuta nyumba inaishia kwenye renta
 
Asifanye biashara na io pesa ajenge nyumba ya kawaida ingine atie mfuko wa jamii
 
Atafute biashara au afungue fixed ac bank aweke km10 milion zen baada ya miaka atapata faida au anunue hisa

Ila usimshauri ajenge maana akienda kujenga ataishia kumiliki nyumba afu atarudi kwenye umaskini na kibaya zaidi anaweza akaiingiza iyo pesa kwa ujenzi na mwisho wa sku akajikuta nyumba inaishia kwenye renta
Ajenge nyumba ya kawaida pesa ya betting sio ya kuangalia inaisha chap
 
Kama hajui la kufanya aweke kwanza bank fixed au Utt atulie akijitafuta. Pesa haiji mara mbili mbili kirahisi hivyo asichezee nafasi. Halafu asipige sana kelele kuwa ameshinda.
Sawa mkuu
 
Nilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.

Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
Pesa haikai au ni matumizi ya hovyo ya mhusika
 
Back
Top Bottom