Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Kiwango Cha juu Cha ushindi meridianbet ni milioni 30.
Kwanini yeye kala 58 huo niuongo
Nikudanganye Ili iweje Mimi nanufaika nini na kudanganya wewe dogo kashinda milion 58 Jana tena kwenye ofisi za meridian
 
Dah halafu kweli mkuu umeongea pointi kubwa sana
Hio hela haikai wewe chukua 55 kampe mtu akushikie kwanza hata Mama yako kisha tuliza wenge subiri jini lipite la sivyo hela zote utazirudisha ulipozitoa
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Kama betting inalipa awekeze kwenye biashara hiyo hiyo
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
A withdraw hiyo pesa aiweke benki atulie kama 60 days hivi bila kuigusa atajua kitu cha kufanya.

Kama ana miradi yake aliyokuwa anafanya ajaribu kuitathmini kama akiongeza mtaji kwenye miradi hiyo itaongeza revenue.
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Ili tumshauri vizuri weka na orodha ya walioliwa na wameliwa sh ngapi ili tuone faida na hasara za betting.
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Mshauri aendelee ku beti
 
Milion 58 mbona ndogo, atafute tena odds 2. Aweke milion 50 ili ije milion 100, ndipo tutapata cha kumshauri.
Ikiliwa hiyo 8 iliyobaki anialike tukalewe tutoe stress!
 
Back
Top Bottom