Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu nitamshauriatafute eneo lililochangamka ajenge frem za kupangisha
Sawa mkuu nitamshauriatafute eneo lililochangamka ajenge frem za kupangisha
Kaka,mtengeneze huyo dogo 58 million nyingi sanaKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 aisee nimejionea Kwa macho yangu betting inalipa aisee hapa anatuomba ushauri ma broo wake aisee sijui tumpe ushauri Gani Wana jamii forum najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana MODS: naomba huu Uzi msiupeleke kwenye jukwaa la kubet nataka kupata maoni ya wadau hapa
Unapoambiwa elewa hela ya Kamari sio hela haikai fanya kitu cha maana ijishikize hapo, ukiweza msukumie mtu kiasi halafu kwa kipindi hiki bakia na kiasi kwenye 28 mpe mtu 25 akushikie chapu wewe baki na 3 tu hizo 25 usizichukue tena kisha pima upepo hizo 3 zinavyopukutika ndio utaelewa. Na zikikatika usizikimbilie 25 haraka ukazitaka unaenda kumrudishia Muhindi unakua km umerogwa uzirudishe zote. Ogopa sana.Sio Kweli akili Yako tu hamna pesa inayoisha kama upepo
Dah halafu kweli mkuu umeongea pointi kubwa sanaKaka,mtengeneze huyo dogo 58 million nyingi sana
mshauri dogo kuhusu kuwekeza au kununua mali — mfano kama viwanja — usikae kiboya sasa kama mtu mwema tu wa kumpangia maisha. Hakikisha kila unalopendekeza, kuna maslahi yako yamejificha ndani kwa ustadi.
Kwa mfano, ukimshauri akanunue kiwanja, hakikisha madalali wanaosimamia hilo eneo ni watu wako wa karibu — wale wanaojua mchezo. Weka bei ya juu kwa mfano milioni 5 zaidi ya bei halisi, kisha fungu lako lipitie humo kimya kimya. Yaani, wewe unamshauri, lakini kiuhalisia uko kwenye kinyonyaji safi, kama kupe fulani la kisasa.
Usijifanye mshauri wa bure, dunia hii haina nafasi ya watu wanaotoa maarifa bure bila faida. Wewe mpe mipango ya maana ya kuwekeza, lakini kila mpango uhakikishe unaingiza kitu mfukoni. Hata akinunua gari, nyumba, au kufungua biashara — hakikisha kuna sehemu madalali wamekuelewa, wameweka fungu lako pembeni.
Anashikiwaje hela na mtu mwingine mkuu na Bank zipo fanyeni mambo kwa kujiamini sio unampa mtu pesa itapotea huko utapewa story mpaka unaenda motoni..Unapoambiwa elewa hela ya Kamari sio hela haikai fanya kitu cha maana ijishikize hapo, ukiweza msukumie mtu kiasi halafu kwa kipindi hiki bakia na kiasi kwenye 28 mpe mtu 25 akushikie chapu wewe baki na 3 tu hizo 25 usizichukue tena kisha pima upepo hizo 3 zinavyopukutika ndio utaelewa. Na zikikatika usizikimbilie 25 haraka ukazitaka unaenda kumrudishia Muhindi unakua km umerogwa uzirudishe zote. Ogopa sana.
Hamna mkuu dogo kapiga huku mtaani janaBest money umepiga wewe nini hiyo pesa umeamua kumpa dogo kesi kupunguza Jam zetu mazee...
Ok poa mkuu nilitaka kuisotea utumbo hiyo..Hamna mkuu dogo kapiga huku mtaani jana
DuuuhAnunue samia bonds chapu atulize kwaza wenge kam one year. Then hela kidgo awekeze kweny kujifunza uwekezaji na biashara before hajaaza hizo vitu viwili.
Mkuu miaka hii kumpa mtu hela akushikie hii ni akili kweliUnapoambiwa elewa hela ya Kamari sio hela haikai fanya kitu cha maana ijishikize hapo, ukiweza msukumie mtu kiasi halafu kwa kipindi hiki bakia na kiasi kwenye 28 mpe mtu 25 akushikie chapu wewe baki na 3 tu hizo 25 usizichukue tena kisha pima upepo hizo 3 zinavyopukutika ndio utaelewa. Na zikikatika usizikimbilie 25 haraka ukazitaka unaenda kumrudishia Muhindi unakua km umerogwa uzirudishe zote. Ogopa sana.
Unakuta anakuomba wewe ushauri mtu mwenyewe milioni unaisikiaga tuKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 aisee nimejionea Kwa macho yangu betting inalipa aisee hapa anatuomba ushauri ma broo wake aisee sijui tumpe ushauri Gani Wana jamii forum najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana MODS: naomba huu Uzi msiupeleke kwenye jukwaa la kubet nataka kupata maoni ya wadau hapa
Sawa mkuuOk poa mkuu nilitaka kuisotea utumbo hiyo..
Anunue forkliftKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 aisee nimejionea Kwa macho yangu betting inalipa aisee hapa anatuomba ushauri ma broo wake aisee sijui tumpe ushauri Gani Wana jamii forum najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana MODS: naomba huu Uzi msiupeleke kwenye jukwaa la kubet nataka kupata maoni ya wadau hapa
ili kweli begi la pesa 😂😂😂atafute eneo lililochangamka ajenge frem za kupangisha au nyumba
Sasa basi subiri uzirudishe kwa mwenyewe umemshikia kwa muda tu akilituma jini la kuzirudisha hela zake utazirudisha tu tena utarudisha zoteMkuu miaka hii kumpa mtu hela akushikie hii ni akili kweli
Mbn unaguna au haujuu kuhus bonds. Kama upo dar tafuta agent wa (DSE) dar stock exchange awajuze kuhusu bonds especially Treasury Bonds.Duuuh