📌AENDE POSTA OHIO STREET AULIZIE JENGO LA SUKARI HOUSE.
📍GROUND FLOOR- UTT HQ
AJISAJILI AFUNGUE ACCOUNT YA UKWASI FUND.
FAIDA ZA UKWASI FUND ACCOUNT-KUKUZA MTAJI.
1.Haina garama za kujiunga.
2.Ukitaka pesa zako unazipata ndani ya siku 3 za kazi.
3.Inakiwango kidogo cha hasara.
4.Interest rate inachezea 11% -16%
5.Huku pesa inazaa na haikatwi benki pesa inakatwa, atachagua mwenyewe asuke au anyoe.
🚩Ajitahidi aweke hata million 20 hapo alafu aipotezee hata miaka 15-20 hatojutia uamuzi wake.
📌Aende maeneo ya Kibaha kwanzia Picha ya ndege na kuendelea anunue kiwanja.Million 5-7
📌Aende njia ya Bagamoyo,pia huko anunue kiwanja.Million 5-7
📌📌📌📌Kama yupo Dar. anunue bajaji ya umeme ni million 10+usajili million 1=Jumla million 11.Aanze kupiga kazi.Bajaji ya umeme kuchaji 3,000/=( unachaji mara mbili kwa siku jumla 6,000/= hii unazungusha unakunja mpaka 70K per day mungu akupe nini tena).
📌Millioni moja ajibrand( kuvaa na kuupa moyo pole).
📌Million mbili aweke getto vizuri na apange angalau chumba sebule ya 150K.
📌Laki 5 akalewe na kula totozzzz.
📌Inayobaki afungue account ya CRDB ya FAHARI huko aweke akiba ya kutumia kama emergency.Huku pesa inakaa haikatwi na account inauwezo wa kupokea mpaka BILLIONI 1.
Kula chuma hicho,,,,,,,,
#KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Hii inaaply katika pesa zozote zile za MKUPUO.IWE URITHI,KAMARI,ZALI,MICHONGO.