Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Mwambie atafute mkeka mmoja wa maana aweke yote anapata faida zaidi
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Atulie kwanza TRA wachukue Chao haiwezi kubaki 58mil..then kilichobaki ndio atulize nacho akili. Ikanuwekezaji wa hela ya betting aiweke kwenye gvt compound bond..awe anavuna mshahara wake.
 
Sijawahi shuhudia live kabisa kwa macho mtu aliyeshinda pesa ya kubeti..utasikia kama hivi hibi mtandaoni au fulani kashinda au alishinda ..wanajificha sana wawekezaji hawa..cha ajabu niliwahi kuwaona live waochaniwa mikeka..kuna jamaa alimuweka kijana kwa duka lake la mpesa kumbe anabeti akawa anatumia pesa hizo hizo mwisho wa siku kikamramba 1M na akaacha kazi..mnaobeti muwe wawazi basii
Ana stake 1m?
 
Wanaoshinda huwa niwachache. Nirahisi kuzaliwa na mpiga kura ila nivigumu kuzaliwa na kiongozi
Sijawahi shuhudia live kabisa kwa macho mtu aliyeshinda pesa ya kubeti..utasikia kama hivi hibi mtandaoni au fulani kashinda au alishinda ..wanajificha sana wawekezaji hawa..cha ajabu niliwahi kuwaona live waochaniwa mikeka..kuna jamaa alimuweka kijana kwa duka lake la mpesa kumbe anabeti akawa anatumia pesa hizo hizo mwisho wa siku kikamramba 1M na akaacha kazi..mnaobeti muwe wawazi basii
 
Hisa za CRDB za 55 M. Hiyo 3 akaupe mwili pole aendelee na maisha yake
 
Back
Top Bottom