Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Nilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.

Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
Acha upotoshaji mkuu
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Kubet ni umaskini asirudie tena kubeti,hiyo iwe tiketi ya kutafuta cha kufanya mbadala wa betting
 
Yaani miaka 29 anaomba ushauri wa Nini Cha kufanya pesa? Kuna mahali tunakwama kama taifa
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Betting hailipi. Hakuna kamari imewahi kumtajirisha mtu.

Hakuna maendeleo ambayo sio mpango.
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Si bora abeti tena mikeka ya odds 3 awe anastake milioni tano, saba ili ashinde Bilioni
 
mtu ana miaka 29 anakuwaje dogo?
huku namtumbo huyo mtu anakuwa ana mjukuu kabisa
 
unashikiwaje hela wewe kiande,,,yaani karne ya leo bado unajishupaza shingo unamshauri mtu akashikiwe hela.

📌Hii nchi matahira ni wengi.

#Serikali ianzishe somo la FINANCIAL EDUCATION.
Wewe matako km kitu hujui piga kimya
 
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29

Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.

Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani

Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Anywe bia kreti mbili kutoa wenge
 
Sijawahi shuhudia live kabisa kwa macho mtu aliyeshinda pesa ya kubeti..utasikia kama hivi hibi mtandaoni au fulani kashinda au alishinda ..wanajificha sana wawekezaji hawa..cha ajabu niliwahi kuwaona live waochaniwa mikeka..kuna jamaa alimuweka kijana kwa duka lake la mpesa kumbe anabeti akawa anatumia pesa hizo hizo mwisho wa siku kikamramba 1M na akaacha kazi..mnaobeti muwe wawazi basii
 
Back
Top Bottom