Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo.
Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone
Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA.
Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram.
#META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook.
Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021
Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi.
Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13.
Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
Meta, kampuni mama ya Facebook inapanga kupunguza wafanyakazi wake huku maelfu ya wafanyakazi kuathirika na jambo hili.
Kutokana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Meta September 30, ilikuwa na wafanyakazi wapatao 87,000 duniani kote ikijumuisha wafanyakazi kutoka Facebook, Instagram na...
Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja.
Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple.
Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja.
Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la kurekebisha matatizo ya mawasiliano ya kivita.
Meta walituhumiwa kutumia huduma hiyo kwenye Instagram na...
Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
digital rights
dola
faini
google
kinyume na sheria
korea
korea kusini
kukusanya
kusini
kuuza
matangazo
meta
milioni
right to privacy
taarifa
taarifa binafsi
Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini.
Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.
Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi.
Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.
Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.
Au mwekee wimbo huu ausikilize.
MIMI NIMEMUULIZA
Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?
Alisema akipata ubunge kawe...
Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?
Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.
Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.