Nadhani ni kama mwaka mmoja sasa umepita kulikuwa na kijana alikuwa hewani kupitia redio mojawapo akasema yuko mbioni kutengeneza metaverse yake (virtual universe). Sijasikia lolote.
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA.
Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa eneo maalumu la Hong Kong.
Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa?
Ni nini faida na hasara za hii kitu?
Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa.
kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki michezo,kufanya kazi,kujenga miundombinu mipya na kufanya biashara mbalimbali
October 2021, Kampuni ya Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.