Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini.
Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu.
Huwa...
♋Ibrahim Traoré amekuwa kiongozi anayevutia vijana wengi barani Afrika kutokana na nafasi yake kama mfano wa mabadiliko ya kimfumo, hususan kwa nchi zinazokumbwa na changamoto za utawala, ukoloni mamboleo, na ukosefu wa maendeleo. Tukiangazia kifalsafa kwa muktadha wa siasa za kimataifa...
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
MWAKAWASILA CONSULTANT
Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha.
Huduma zake mara nyingi hujumuisha:
1. Mipango ya Uwekezaji
Kushauri kuhusu hisa, mifuko ya uwekezaji wa pamoja (mutual funds)...
Norman Finkelstein ni msomi, mwandishi, na mwanaharakati wa Marekani anayejulikana kwa kazi yake inayohusiana na siasa za Mashariki ya Kati, hasa mgogoro wa Israeli na Palestina. Alizaliwa tarehe 8 Desemba 1953, Brooklyn, New York, akiwa mtoto wa manusura wa mauaji ya Holocaust. Ameandika vitabu...
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani.
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.
Neno hili alilolifanya...
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2
Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake
Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood.
Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo.
Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
Kadiri ya imani ya kanisa katoliki, Mtakatifu Josephine Bakita ni mmoja wa watakatifu maarufu katika Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Sudani Kusini. Alizaliwa mwaka 1869 na aliishi maisha ya kutisha ya utumwa baada ya kutekwa nyara akiwa na umri wa miaka saba. Aliuzwa mara kadhaa, lakini hatimaye...
Sean John Combs (anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy,; amezaliwa 4 Novemba 1969)[1] ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa (mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali na mchezaji ngoma shupavu.
Jina la kuzaliwa
Sean John Combs
Amezaliwa
4 Novemba 1969 (umri 54)...
Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo.
Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza...
Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October...
Anaandika Idd Rashid ( Iddmastory).
Alessandro Del Piero alizaliwa Novemba 9, 1974 huko nchini Italia katika familia ambayo baba yake alikuwa ni fundi umeme na mama yake akiwa ni mama wa nyumbani asiye na kazi yoyote.
Maisha yake ya soka aliyaanza kama mlinda mlango ambapo alikuwa...
Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.
Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897.
Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika.
Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki.
Katika Biblia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.