Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Mgombea George Wajackoyah
Wakati mmoja alikuwa mtoto wa kurandaranda mitaani nchini Kenya na wakati mwengine akawa mchimba kaburi nchini Uingereza, George Wajackoyah amekuwa kivutio cha kisiasa kwa kugombea urais wa Kenya kupitia ahadi ya kuligeuza taifa hilo la Afrika Mashariki kuwa muuzaji...
Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco, Mauritania, Senegal, Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Ghana na Benin
Lengo la safari hiyo lilikuwa...
Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki...
Nitakuwa nawaletea wabunge mbalimbali kutoka bungeni Dodoma, leo tuanze na mbunge Semuguruka kutoka mkoani Kagera. Huwa namfatilia sana anapochangia michango yake bungeni.
Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54
Hamjamboni wadau
Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu
kwenye kikosi maalumu cha Wadunguaji (Snipers) wa Jeshi la Kisoviet mwaka 1943
Alikuwa ndiye mdunguaji bora kabisa (one of...
Job Yustino Ndugai (amezaliwa 21 Januari 1960) ni mbunge wa jimbo la Kongwa katika bunge la kitaifa nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM.
Tangu tarehe 17 Novemba 2015 hadi 6 Januari 2022 alikuwa Spika wa Bunge la Tanzania. Baada ya kuingia katika ugomvi na rais Samia Suluhu Hassan...
Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani.
Kwakweli huyu Mzee...
Eric James Shigongo Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji
(alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 Novemba 2020) na mjasiriamali ambaye amejikita zaidi katika uandishi...
Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii.
Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi...
Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA.
Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani .
polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
BINTI MFALME WA DOLA YA MONGOLIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA KHUTULUN.
Khutulun alikuwa binti wa pekee wa Kaidu Khan ambaye alikuwa ni kizazi cha mfalme wa dola ya mangolia Ganghis Khani shujaa aliyeogopwa kwa ukatili dunia nzima.
Dola hiyo ilipatikana Asia ya kati na ilikuwa ikijulikana kwa...
Charles Dunbar Burgess King alikuwa rais wa 17 wa nchini Liberia aliyeshinda kwa kura za udanganyifu zaidi pia alikuwa mshiriki wa mkutano wa kwanza wa Pan- Africanism mwaka 1919 mambo ya muhimu yaliyojadiliwa katika mkutano huo yalikuwa ni mapambano ya waafrika dhidi ya utumwa na ukoloni...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi.
Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30
Stander alikuwa Nahodha wa Kitengo cha Upelelezi wa Jinai Johannesburg mwaka 1977 ambao ndio mwaka...
Dk. Angela Dorothea Merkel (amezaliwa tar. 17 Julai 1954, mjini Hamburg) ni mwanafizikia na mwanasiasa wa Kijerumani, na ni Chancellor (kansela/Waziri mkuu) wa Ujerumani tangu 22 Novemba 2005.
Familia na elimu
Alizaliwa 1954 mjini Hamburg katika familia ya Horst na Herlind Kasner. Babake...
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu.
Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.