mfahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mfahamu Rais Mstaafu Joyce Banda

    Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
  2. Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  3. Mfahamu Producer Mikka Aleksanteri Kari A.K.A Mika Mwamba

    Mwaka 1993 MIIKKA ALEKSANTERI KARI akiwa anaipambania elimu yake ya chuo kikuu . Ndipo anapewa Information kuwa anapaswa kuja nchini TANZANIA haraka iwezekanavyo. Taarifa ile ilimtaka MIIKKA kuwasiri TANZANIA akiwa na watu kadhaa Walifika TANZANIA na hapo wakapokelewa na mtu aliyejitambulisha...
  4. W

    Mfahamu Bi Kidude Malkia Wa Taarabu Zanzibar

    Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja. Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba alikuwa na kipaji cha kupiga ngoma. Bi Kidude amewahi kujinyakulia tuzo mbalimbali katika muziki...
  5. Makala: Mfahamu Simba Karatasi wa Umakondeni

    Historia ya kweli kumuhusu Simba karatasi huko umakondeni. Mnamo miaka ya mwisho ya 80 hadi katikati ya miaka ya 90, huko kusini mwa Tanzania paliwahi kuwepo ndui aliyesumbua kwa kipindi kirefu kwa kuleta hofu kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mtwara. Historia juu ya asili ya simba huyu ina...
  6. U

    Mfahamu Waziri wa michezo wa nchi ya Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu Waziri wa michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju Aurore Mimosa Munyangaju (born as Aurore Mimosa), is a Rwandan businesswoman and politician who serves as Minister of Sports since 5 November 2019. Mimosa holds a certificate in dealing simulation, awarded by...
  7. Mfahamu daktari wa kwanza duniani "Hippocrites"

    Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki. Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri. Hawa waganga walikuwa hawana heshima kwa wagonjwa na walisababisha wagonjwa wengi kufa. Ikitokea...
  8. Mfahamu Babaji

    Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani kuweka picha moja ya Babaji hapa, lakini hii simu ina matatizo gani sijui mbili hizi. Nilitamani kuweka...
  9. Mfahamu ndege Flamingo

    1) Flamingo wanauwezo wa kuhisi mvua ikiwa umbali wa km 500.. Sio flamingo wote wana uwezo huo isipokuwa ni Flamingo kutoka bara la afrika hasa wanaopatikana nchini Namibia 2) Neno flamingo ni neno la kihispania flamenco lenye maana ya moto... Na sababu ya kuitwa hivyo ni kutokana...
  10. Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
  11. Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  12. Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

    MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda) Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya get down - Prezo ft Naziz (Kenya) Twenzetu - Chege Baby Gal + wange - Mad...
  13. Mfahamu Yassine Chueko, Mlinzi binafsi wa Messi

    Unapofanya kazi ya kuwa mlinzi wa mmoja wa wanasoka mashuhuri duniani, basi tambua ni kazi ngumu sana, tena yenye kuhitaji umakini mkubwa. Hii inakwenda mbali mpaka kusema kwamba lazima uwe na mafunzo ya juu, motisha ya kutosha, katika hali bora ya kimwili na macho daima na wakati mwingine...
  14. Mfahamu kimapenzi Mwenza wako

    Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako; 1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea...
  15. Mfahamu Pata Seca: Kutoka kuwa Mbebesha Mimba mpaka Alama ya Ukombozi

    Habarini Wanajukwaa! Uzalishaji wa watumwa ulikuwa ni jambo la kawaida sana kutokea haswa kuanzia miaka ya 1619, jambo hili lililotokea huko Marekani, ambapo wamiliki wa watumwa wangezalisha Waafrika waliokuwa watumwa kwa madhumuni ya kuongeza thamani yao ya kiuchumi kama sehemu ya utendaji wa...
  16. Mnaoshabikia HAMAS mfahamu walikamata hadi Waarabu mateka

    Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote. Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado...
  17. Mfahamu muigizaji Katrina Kaif

    Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza mwenye asili ya India, Mohammed Kaif na Suzanne Turquote, muingereza msomi na mwanasheria. Katrina...
  18. Mfahamu muigizaji Hrithik Roshan (KRRISH)

    Jina lake kamili anaitwa Hrithik Rakesh Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa na mtayarishaji,muongozaji na muandishi wa filamu Rakesh Roshan (baba) na Pinky Roshan (mama). Hrithik Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa (mziwanda) wa kwanza ni dada yake anaitwa Sunaina Roshan. Hrithik Roshan alizaliwa 10...
  19. Mfahamu muigizaji Kajol

    Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India. Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee. Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa...
  20. Mohammed Deif: Mfahamu kiongozi wa Hamas anayewanyima usingizi Israeli

    Kamanda wa jeshi la Hamas Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na operesheni ya kundi hilo, muda mchache baada ya wapiganaji wa kundi lake kuvamia Israel na kusababisha maafa mabaya zaidi. "Tumeamua kukomesha makosa haya ya Israel kwa msaada wa Mungu, hivyo adui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…