Mfalme wa Morocco Mohammed VI ametoa msamaha wa kifalme kwa mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal waliokuwa wamefungwa jela kwa kufanya fujo wakati wa fainali ya AFCON.
Msamaha huo umetolewa kwa sababu za kibinadamu na kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo wakati wa kuelekea Sikukuu ya Eid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.