mfano wa danguro

  1. Yoda

    Danguro ni nini? Mfano wa madanguro ni yapi?

    Hili neno danguro lina maana gani? Wiki hizi mbili katika hili sakata la wanaoitwa makahaba/madada poa nimelisikia linatajwa sana ila sijajua lina maana gani. Wale wataalamu wa lugha, magwiji na wengine wenye ufahamu tufahamisheni maana ya danguro.
Back
Top Bottom