mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Kama wewe ni mfanyabiashara kuwa makini na wale jamaa wanaokuja na kujitambulisha kuwa ni mawakala wa kampuni fulani na wanasambaza bidhaa

    Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga. Then anakuambia tumepita...
  2. upupu255

    Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi...
  3. Pascal_TZA

    Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mfanyabiashara na Dereva Kortini kwa Umiliki Haramu wa Ethanol na Kugushi Stempu za TRA

    Mfanyabiashara, Novita Shirima (49) na dereva, Justine Mbise (29) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali aina ya ethanol kinyume cha sheria, kughushi stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutumia...
  5. JOHNGERVAS

    Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha...
  6. Carlos The Jackal

    Mfanyabiashara aloingiza Mafuta yalowaathiri zaidi ya watu 200, Awalipe fidia waathirika wote , na achukuliwe hatua za kisheria

    Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi. Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia. Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?. Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke...
  7. Manfried

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  8. B

    Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

    Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
  9. MamaSamia2025

    Hizi ni biashara zinazolipa ila sio rafiki sana kwa mfanyabiashara anayeanza kujitafuta.

    Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria. 1. Biashara ya...
  10. T

    Kupotea kwa mfanyabiashara Ulomi na viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu jicho la tatu linahusu..

    Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila. Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote. Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia...
  11. Inside10

    Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  12. Manyanza

    Utajiri wa Mfanyabiashara Elon Musk wazidi kuongezeka

    Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika...
  13. C

    Mfanyabiashara hatokueleza wapi anapata faida, kamwe usije kuomba ushauri ukadhani atafunguka 100%

    Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo. Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara ni Siri kubwa pia. Wale tunaoulizia biashara ukumbuke biashara ni Siri na Siri ndio pesa yenyewe...
  14. econonist

    Hukumu ya kifo kwa mfanyabiashara Truong My Lan yathibitishwa

    Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata Rufaa akitaka apunguziwe hukumu hiyo mpaka kifungo Cha maisha. Baada ya kukata Rufaa Mahakama ya...
  15. LIKUD

    Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

    Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
  16. Waufukweni

    Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  17. Waufukweni

    Sakata la mfanyabiashara Deo Bonge kutekwa, Spika Tulia afunguka "Sio Msaidizi Wangu"

    Wakuu, Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali...
  18. Q

    Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

    Kutoka Mtandao wa X (Twitter) 1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
  19. Kitomai

    Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

    NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
Back
Top Bottom