Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini.
Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7.
Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo...
Mwaka 2008, nakumbuka nilisafiri kwenda huko Mpanda. Sasa basi tulilopanda, lilichelewa sana kuondoka. Abiria tulianza lalamika. Kondakta wa basi akatujibu 'kwanza hampaswi kulalamika, inabidi mumshukuru sana huyu Ali, maana amewasaidia sana kwa kuweka basi kwenye njia hii'. Kauli ile ilinikera...
Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
Leo 16/06/2021 12:45
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu.
Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa waarabu)
Pia, anajifunza namna ya kuinvest na risk zake hata anaweza foresee future ya business...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika...
Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa
Sugu...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda
Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson
Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo...
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo.
Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28, Mbunge wa jimbo la Monduli , Fredrick Lowassa amesema...
Askari polisi watatu pamoja na raia sita akiwemo mfanyabiashara maarufu wa Madini a Tanzanite, Lucas Mdeme wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wamekiri makosa kwa kuandika barua kwa DPP.
Wameandika barua ya kukiri mashataka sita wanaokabiliwa nayo ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji...
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu.
Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara.
Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets.
Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja tena kina hati miliki bado ni kazi bureeeee...
Tujitahidi tujenge maana hicho kiwanja kama hakina...
Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)?
Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643.
Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya rushwa kwa miaka 10, tangu 2008 ambapo alikuwa anapokea ili kuwapa watu kazi...
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.