👁️JINA LA UGONJWA
KUAMKA HUNA HELA MFUKONI.
👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI"
(a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula.
(b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
Habari za Wadau wa JamiiForums!
Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama?
2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa?
3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama?
4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali.
Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
Africans, we are poor, lakini we are acting rich.
Kwamba unaogopa kusemwa?
Unaogopa kuitwa masikini?
Unaogopa lawama za kutoarika watu?
Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea?
Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo?
Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana.
Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
11 April 2024
Dar es Salaam, Tanzania
(Google translator)
Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta
Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.
Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao
Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi.
Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi
nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno
msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo.
Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni.
Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema.
Kwenye mkutano wa kujadili...
Kupitia kwa Wakili wa Chalinze Cement Company Limited, Melchisedeck Lutema ambaye pia ni Wakili wa Chama cha Kutetea na Kusemea Walaji Tanzania amesema kuwa Chalinze ni Kampuni ambayo ilisajiliwa Mwaka 2021.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Mei 8, 2023 Jijini Dar es Salaam amesema...
Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo.
Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo.
Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.