Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani.
Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa...
Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.
Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.
Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto...
Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye
Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
Kuna Kampuni ya mabasi inayofanya safari zake kati ya Arusha na Haydom kupitia Karatu na Mbulu km ilivyotajwa hapo juu. Ktk kibali chake cha biashara ilitakiwa kila siku iwe inasafirisha mabasi manne, mawili kutoka Arusha kwenda Haydom(basi la kwanza inatakiwa iondoke saa 12 asubuhi na la pili...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya.
Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
"Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
WapambanaJi..
Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).
Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,
Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo
Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini...
Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua.
Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua.
Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri.
Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti...
Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.