mfukoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  2. Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  3. M

    Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  4. G

    Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  5. Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  6. O

    Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  7. Sumsung A14 inahitajika full box kwa bei rahisi ( 270k) mfukoni ipo hapa.

    Ndio wakuu napokea call 0621011063. Naweza ongeza kidogo bei.
  8. S

    Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  9. B

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  10. Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  11. R

    Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  12. Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

    Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
  13. P

    Mchango wa ujenzi wa kanisa aliotoa Rais Samia unatoka serikalini au mfukoni kwake? Nini kipo nyuma ya mchango huo?

    Wakuu, Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake. Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake? Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
  14. N

    Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  15. J

    MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

    Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
  16. Viongozi wa kisiasa waache kuwakashfu viongozi wa dini kwenye mikutano yao

    Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo. Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
  17. Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  18. M

    Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  19. Chalinze Cement yatoa tamko kuwa kampuni yao si ya mfukoni na sio matapeli

    Kupitia kwa Wakili wa Chalinze Cement Company Limited, Melchisedeck Lutema ambaye pia ni Wakili wa Chama cha Kutetea na Kusemea Walaji Tanzania amesema kuwa Chalinze ni Kampuni ambayo ilisajiliwa Mwaka 2021. Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Mei 8, 2023 Jijini Dar es Salaam amesema...
  20. S

    Familia ya Gupta iliuweka utawala wa Zuma mfukoni ikawa haigusiki. Je, kuna familia inamsumbua rais Samia?

    Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo. Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo. Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…