Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.
Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.
Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto...