Ndugu zangu Watanzania,
Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa
Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo.
Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa,
Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
Naona kama kuna mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea uchaguzi. Lissu akiwa anatumika na dola yuko mstafi wa mbele kutengeneza mgawanyiko hasa baada ya Msigwa kuishambulia sana Chadema, lakini akagonga mwamba.
Wana chadema, tukija kustuka, chama chetu kitakuwa hoi bin taaban, watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama tunavyoshuhudia katika chaguzi mbalimbali. Baada ya mchakato huo, viongozi na vyombo vya dola hujiona wamemaliza...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway).
Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
Anonymous
Thread
bila
bila taarifa
elimu
elimu ya watu wazima
mfululizo
miezi
miezi miwili
mradi
sequip
taarifa
taasisi
watu wazima
wazima
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa"
Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka"
Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha Gamondi ni Mbishi, Mjivuni na Mbaguzi wa Wachezaji"
Hakika aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Raia wa...
Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri.
Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo.
Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024.
Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM.
Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana.
Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM
Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini
Tengenezeni timu
Acha kulia
Leo mnalia refa
Mara kipa Camara kauza mechi
Zile 5 mlisema...
Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba!
Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili
2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana
3. Kocha wetu...
SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga.
Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira.
Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani.
Hivi ni kwa nini mlitamba eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA marambili mfululizo?
Tena tukijumlisha na next season itakua mara 4...
Kwa wale wenye exp
UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana.
KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba
Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero,
Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii,
Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile harufu kunifikia, chafyaaaa.
Wakati mwingjne nikikaa tu, chafyaaa.
Nikiingia chumbani, chafya tu...
Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.
Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.