mfululizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

    Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye...
  2. Kidagaa kimemwozea

    Aviator yatwaa tuzo 7 mfululizo 2023

    Kampuni ya kiteknolojia ya michezo ijulikanayo Kama sprible imeibuka mshindi wa tuzo 7 mtawalia kwa Mwaka 2023 baada ya ubunifu mkubwa walioufanya katika teknolojia ya michezo ya igaming. Baada ya ugunduzi wa mchezo mashuhuri wa Aviator Kujiunga Pmbet na kucheza Aviator tembelea tovuti ya...
  3. JanguKamaJangu

    Wahalifu wenye silaha waua watu 113 katika mfululizo wa mashambulizi Nchini Nigeria

    Makundi yenye silaha yameripotiwa kuua watu zaidi ya 100 katika mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga miji ya katikati mwa Nigeria eneo lenye mivutano ya Kidini na Kikabila. Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Bokkos, Jimbo la Plateau umeeleza mashambulizi hayo yamejeruhi zaidi ya Watu 300 na kuwa...
  4. B

    Chalinze yapata hati mfululizo kwa kuwa kinara ukusanyaji mapato kimkoa, kitaifa

    Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa. Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
  5. Teslarati

    Sitosahau usiku ule Paris nilipotoroka camp kwenda kumuangalia Jay Z na Kanye West, bila kutegemea waliperform Niggas in Paris mara 11 mfululizo

    Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
  6. Roving Journalist

    Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  7. Boss la DP World

    TEC wameiva kisaikolojia, waraka kusomwa wiki 6 mfululizo si bahati mbaya

    Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu. Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika...
  8. Wakili wa shetani

    Kukata umeme siku mbili mfululizo haikubaliki

    Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
  9. Mwande na Mndewa

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu...
  10. Expensive life

    Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

    Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia. Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
  11. K

    Urusi: Mkosoaji wa Rais Putin alazimishwa kuisikiliza hotuba ya Rais kwa siku 100 mfululizo

    Mkosoaji mkubwa wa rais wa Urusi, Alex Navalny amelalamikia kitendo cha walinzi wa gereza aliloshikiliwa kumlazimisha kusikiliza hotuba ya Rais Vladimir Putin kwa muda wa siku mia moja mfululizo. Mwanasheria wa Navalny, wakili msomi Diwalii,amedai kuwa mteja wake alilazimishwa kuisikiliza...
  12. BARD AI

    Kesi ya waliokuwa vigogo NIC yakwama mara ya pili mfululizo

    Kesi ya kuchepusha fedha na kulisabishia hasara Shirika la Bima la Taifa (NIC) ya Sh 1.8 bilioni, inayowakabili washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Sam Kamanga, imeshindwa kuendelea mahakamani. Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 18/2023 imeshindwa kuendelea leo...
  13. M

    Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  14. comte

    Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

    Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu. Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
  15. IamBrianLeeSnr

    New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
  16. Kenyan

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua awahi ofisini saa 11 alfajiri kwa siku ya 3 mfululizo

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter akitoa Rai kwa wananchi kupambana katika kazi zao za Kila siku. Aliandika: "Kenya ni taifa la...
Back
Top Bottom