Habarini za leo ndugu zangu, nimetafakari sana na katika pitapita zangu kwenye maktaba mbalimbali nimejiridhisha bila shaka kuwa nafasi za uongozi wa juu ni lazima zishikwe na mwanaume ili mambo yaende.
Na hakuna ushahidi duniani wa nchi yoyote iliyowahi kufanya revolution yoyote ya maana...